Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye anatuhumiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook imeendelea leo May 17 2016 kwenye Mahakama Kuu kanda ya Arusha ambapo ushahidi umekamilika na kesi itaanza kusiklizwa mfululizo kuanzia June 7 mwaka huu.
Hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Augustino Rwezire anayesikiliza kesi hiyo amesema upande wa mashtaka umekamilisha ushahidi wake na mtuhumiwa ataendelea na dhamana hadi kesi hiyo itakapoanza kusikilizwa.
#MillardAyoUPDATES Ushahidi Kesi ya aliyemtukana Rais Magufuli facebook umekamilika, kesi itaanza kusikilizwa June 7 pic.twitter.com/ggUaVacCp0
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
ULIIKOSA YA ALIYEMTUKANA RAIS MAGUFULI FACEBOOK KUFIKISHWA MAHAKAMANI ARUSHA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE