Usiku wa kuamkia march 22, 2015 wana mitindo mbalimbali wameshiriki kwenye fashion show iliyoandaliwa na mbunifu wa mavazi wa Tanzania, Ally Rehmtullah.Onesho hilo lililopewa jina la Eleganza limefanyika Serena Hotel Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha jinsi ilivyokuwa fashion show hiyo
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook