June 01 2016 Wizara ya fedha na mipango imewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Hotuba imesomwa na Waziri wake Philip Mpango.
Waziri Mpango amesema…’Wizara ya fedha na mipango kwa mwaka 2016/2017 kupitia mafungu yote tisa ya bajeti inaomba kuidhinishiwa jumla ya shilingi 8,716,493,400,510 kwa ajili ya matumizi ya kawaida.’
‘Kwa upande wa fedha za maendeleo, Wizara ya fedha na mipango inaomba kuidhinishiwa jumla ya shilingi 791,998,424,268.‘
#MillardAyoUPDATES: Wizara ya fedha na mipango imeomba kuidhinishiwa sh.Trilion 9.5 kama bajeti yake mwaka 2016/2017 pic.twitter.com/ftiv6XRP5g
— millardayo (@millardayo) June 1, 2016
ULIIKOSA HII? MBUNGE BOBANI KAHOJI AHADI YA JPM KUMRUDISHA YULE MJUSI ALIYEPELEKWA UJERUMANI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE