Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

PICHA 20: Matukio katika picha ya game ya Taifa Stars vs Kenya July 28 2019

on

Jumapili ya July 28 2019 mchezo wa kwanza wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ya wachezaji wa ndani dhidi ya Kenya Harambee Stars wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN 2020 ulichezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mchezo huo ulichezwa na kumalizika kwa sare tasa ya 0-0, hivyo kwa matokeo hayo Tanzania itaenda Kenya kutafuta sare ya magoli au ushindi ili kusonga mbele August 4 2019, kutoka uwanja wa Taifa Dar es Salaam nimekuletea matukio yote ya uwanjani katika picha.

VIDEO: Kauli ya Kaseja baada ya kuichezea Taifa Stars baada ya miaka 6

Soma na hizi

Tupia Comments