Kocha mstaafu, Alex Ferguson yuko katika hatua za mwisho kutoa kitabu kingine kitakachohusu masuala ya soka.
Taarifa zimeeleza kitabu hicho zaidi kitaelezea katika suala la ufundi uwanjani na nini alichofanya katika kipindi chote akiwa kocha.
Hata hivyo wachambuzi wa soka Ulaya wameshaanza kusema kuwa kitabu hicho huenda kitakuwa msaada mkubwa kwa kocha wa sasa wa Man United, Louis van Gaal ndani ya kikosi chake cha sasa.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook