AyoTV

EXCLUSIVE: Faiza kaeleza historia ya kukutana na sugu, sababu za kuachana

on

Aliyekuwa mke wa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ambaye pia ni msanii wa filamu, Faiza Ally amefunguka na kuelezea historia yake jinsi alivyokutana na Sugu mpaka sababu iliyopelekea kutengana kwao.

Kwanza mimi na Sugu tulikutana kwenye mtandao wa Facebook tukapendana mwaka 2011 nimekuwa nikivaa kama ninavyovaa nimekuwa nikiishi kama ninavyoishi ‘- Faiza Ally

Maana sasa hivi naona watu wanaongea mengi eti mimi niliachwa kwasababu ya nguo hapana kwasababu hiyo ndio life style yangu aliyonikuta nayo, Kwahiyo tukapenda tukazaa mtoto tukajenga nyumba yetu yaani tumeanza maisha japokuwa nimemkuta mbunge’Faiza Ally

ULIIKOSA HII YA FAIZA KUHUSU KUTOONEKANA KWA REALITY SHOW YAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments