Leo Jumatatu February 5, 2018 Kampuni ya Nissan imetangaza inayotengeneza magari Japan imepanga kuwekeza zaidi mabilioni ya fedha kwenye mradi wake wa kutengeneza magari yanayotumia umeme nchini China mwaka 2019 kutokana na kuongezeka kwa Teknolojia.
Kampuni hiyo inategemea kuwekeza Dola za Marekani Bilion 9. 5 sawa na Tshs Trilioni 22.8 kwa ajili ya mradi huo na kuongeza mauzo yake ya mwaka kwa magari Milioni 1 ya umeme.
Jumla ya magari ya umeme ambayo yaliuzwa China kwa mwaka jana yalikuwa Milioni 1.5 na lengo ni kuwa ifikapo mwaka 2025 China nzima itumie magari ya umeme.
MBOSSO DAY: “Nishachoka kuwekwa sub” (TUACHANE)
“Kauli zetu zinaweza zisiifurahishe Serikali, hili ni tatizo kubwa” –Hussein Bashe
g