Mix

Mastaa 8 wa Filamu China wamekuja Tanzania…kutengeneza Filamu?

on

Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Fashion Tourism wamewaalika wasanii kutoka China kwa lengo la kukuza sekta ya Utalii ambapo pia watakuwa nchini kwa ajili ya kuchukua baadhi ya Filamu za Tanzania ambazo zitarushwa kwenye TV ya China.

Ayo TV na millardayo.com zilikuwepo katika mapokezi ya mastaa hao wa China ambao waliungana na mastaa wa Filamu za Tanzania kwa ajili ya kubadilishana uzoefu na kukuza soko la Filamu.

Kufahamu zaidi juu ya ujio wa mastaa hao unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini.

BONGO MOVIE: Mume kaenda kazini, Wife kaleta Mchepuko nyumbani….. tazama hapa chini!!!

Soma na hizi

Tupia Comments