Soka imekuwa kama burudani nyingine ya kawaida kwa watu wa rika zote, siku hizi ni kawaida kuona mtu anapanga ratiba yake ya siku lakini usishangae kumuona katenga muda wa kwenda kuangalia mpira katika ratiba zake, licha ya kuwa ndio mchezo wenye mashabiki wengi duniani au ndio mchezo maarufu zaidi.
Kuna baadhi ya matukio huwezi kutamani kuangalia mara mbili katika soka, hata kama uwe mpenzi wa soka kiasi gani, achana na faulo za kawaida katika soka ambazo mtu anaweza oneshwa kadi nyekundu au njano, hizi ndio faulo huenda zinaweza kukatisha maisha ya soka ya mtu. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee faulo 10 hatari zaidi katika soka, zingine watu wamevunjika miguu na kutoendelea na mechi.
https://youtu.be/MfvfM6OWWrU
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.