Usiku wa December 31 team ya AyoTV na millardayo.com ikiwa visiwani Zanzibar kusubiria kuanza kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2019 ambapo Mabingwa watetezi Azam FC wameshawasili, tulipata nafasi ya kutembelea baadhi ya maeneo ya Unguja ikiwemo mji wa Fumba kutazama watu walivyojipanga kuupokea mwaka mpya.
VIDEO: Furaha ya ushindi Kocha wa Simba kashangilia hadi kavua shati