
Rapper wa hit single ‘Dont panic’, French Montana time hii ameachia video ya single yake mpya Bad B***h amemshirikisha Jeremih.
itazame hapa
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram, na Facebook, ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook