Mwimbaji Malkia wa Uswazi Tanzania, Shaa anaziandika headlines leo kwenye kurasa za burudani! Tarehe 13 July mwaka 2016 kwa kuachia single yake ya ‘Sawa’ umetayarishwa na Producer Shriko kutoka studio za Mkubwa na Wanae.
ULIIKOSA HII YA MO MUSIC KUHUSU UONGOZI WAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA