Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Mengine ya Kufahamu kuelekea uzinduzi wa Ndondo Cup 2019

on

Kuekea uzinduzi wa michuano ya Ndondo Cup 2019 ambapo itazinduliwa Ijumaa hii katika uwanja wa chuo cha Utalii maarufu kama Bandari, mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya michuano hiyo Shaffih Dauda leo ameongea na waandishi wa habari.

Michuano hiyo itazinduliwa kwa mchezo ambao umepewa jina la utani kuwa la Keko Derby kutokana na kuzikutanisha Keko Toroli na Keko Funiture ambao wanatenganishwa na barabara, ila wote wapo maeneo ya jirani, Shaffih amezungumzia uzinduzi huo na maboresho ya 2019.

EXCLUSIVE: Msuva kuhusu kitendo cha Salamba kuomba viatu vya Banega

Soma na hizi

Tupia Comments