Ni Mr Nice ambae hivi karibuni aliingia kwenye headlines kwenye vichwa mbalimbali vya mitandao nchini Kenya kwa kusaini mkataba mnono na kampuni ya Soko Bayi Entertainment.
Mkataba huo uliambataka na kufanya show kwenye tamasha lililopewa jina la 47 Tour kwaajili ya kutambulisha album yake mpya iitwayo KIOO pamoja na mengineyo, Hizi ni baadhi ya picha kutoka Kenya kwenye show yake ya kwanza iliyofanyika kwenye ukumbi wa Shelter Villa- rual.
ULIIKOSA HII YA MR NICE KUPATA SHAVU NCHINI KENYA, KAYAONGEA HAYA SIKILIZA HAPA