AyoTV

Exclusive:Nandy kafunguka atakavyomuenzi Ruge Mutahaba

on

Ni msanii wa Bongo Fleva Nandy  ambae March 29, 2019 amewasili DSM akitokea nchini Kenya sasa Ayo TV ilipata nafasi ya kuzungumza na star huyo, miongoni mwa swali alilofunguka ni namna atakavyomuenzi mpendwa wetu Ruge Mutahaba.

Soma na hizi

Tupia Comments