Ni March 28, 2017 ambapo msanii wa Bongo Fleva, Baraka The Prince alikutana na Ayo TV & Millardayo.com kueleza taarifa zilizokuwa zikienea mwanzo za mpenzi wake Najma kuwa na mimba yake.
Akizungumza na Ayo Tv & millardayo.com staa huyo aliyaongea haya…..>>>Ni kweli Naj hana ujauzito na wala hakuwa na mimba bali kuna siku tu aliwahi kupost picha instagram na alikuwa amenenepa tu ila watu walihisi vitu vingine, kila kitu kinakuwa na mipango yake’
Itazame hii video hapa ujionee alichokizungumza Baraka The Prince kuhusu ujauzito wa Najma
ULIIKOSA HII YA NAJMA ALIWAHI KUFUNGUKA NA KUHUSU UKWELI WA MIMBA YA BARAKA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA