Ad
Ad

AyoTV

VIDEO: Alichokisema Spika Ndugai wakati akizindua semina ya kupambana na Rushwa Dodoma

on

April 7, 2017 Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya pamoja juu ya ufanisi wa vyombo vya kupambana na rushwa ndani ya ukanda wa mashariki mwa Afrika hususani Tanzania.

VIDEO: Wasanii wamekutana Coco Beach kwa ajili ya kumtafuta Roma 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments