Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Kutoka TRA Unachotakiwa kufanya ukipoteza kadi ya gari

on

Leo January 9, 2018 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kwa Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo imetoa taarifa ya unachotakiwa kufanya pale unapopoteza kadi ya usajili wa  gari au pikipiki, kwa kupitia kwenye magazeti na kituo cha Polisi.

”Baada ya kutoa taarifa kwenye gazeti, wanapaswa pia kutoa taaarifa polisi ya upotevu wa kadi ya usajili wa gari, hii ni muhimu sana kuepuka usumbufu ambao umekuwa ukijitokeza, kumekuwepo na udanganyifu wa aina mbalimbali-” Richard Kayombo

Uliikosa hii ya Fedha zilizokusanywa na TRA kwa nusu ya Mwaka wa Fedha 2017/18? unaweza kuitazama video hii hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments