PICHA 30: Kutoka katika usiku wa VPL Awards 2018 na list ya washindi
Share
2 Min Read
SHARE
Usiku wa June 23 2018 zilifanyika tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2017/18 na kutolewa kwa wale ambao wamefanya vizuri kuanzia makocha,wachezaji na club, hii ndio list ya tuzo zilizotolewa usiku wa June 23.
List ya washindi wa tuzo za VPL 2017/18.
1- Habibu Kiyombo mchezaji bora chipukizi.
2- Aishi Manula golikipa bora wa msimu
3- John Bocco mchezaji bora wa msimu.
4- Shaban Iddi mshindi wa tuzo ya goli bora la msimu.
5- Abdallah Mohamed wa Prisons ndio kocha bora.
6- Emmanuel Okwi mfungaji bora.
7- Elly Sasii muamuzi bora wa msimu.
Kocha wa Kagera Suga Mecky Mexime.
DR Mwakyembe.
Habibu Kiyombo na tuzo ya mchezaji bora Chipukizi.Elly Sasii akikabidhiwa tuzo ya refa bora wa VPL.
Aishi Manula wa Simba SC akikabidhiwa tuzo ya golikipa bora wa msimu.
Kaimu wa Rais wa Simb akiteta jambo na afisa habari wa Simba SC Haji Manara.Shaban Iddi wa Azam FC akiwa na tuzo ya goli bora la msimu.Shaban Iddi wa Azam FC akiwa na tuzo ya goli bora la msimu.Shiza Kichuya wa Simba SC
Mimi Mars MCHasheem Ibwe MC
Waziri wa michezo Dr Harrison Mwakyembe akikabidhi tuzo ya mchezaji bora kwa John Boco wa Simba SC.
John Bocco mchezaji bora wa mwezi wa VP 2017/18.
Washindi wote wa tuzo za VPL msimu wa 2017/18.Mchezaji bora Chipukizi Habibu Kiyombo akifanya mahojiano na AyoTV baada ya ushindi wa tuzo.
Haji Manara kapenda usiku wa VPL ila kafunguka wasiwasi wake