Burudani

PICHA 10: Gigy Money ameripoti BASATA ni Mjamzito

on

Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kumtaka Gigy Money kufika Ofisini kwake  mwenyewe kabla ya Serikali haijamtafuta , Leo January 8 2018 nimezinasa Picha 10 za Gigy Money akiingia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) aliwasili na mpenzi wake Mo J, Good News ni kuwa Msanii huyo ni mjamzito

“Gigy Money hawezi kushindana na Serikali” – WAZIRI

Soma na hizi

Tupia Comments