Top Stories

GUMZO LA UTEKAJI! Mzazi mwingine asimulia mtoto kutekwa, adaiwa Mil 4.5

on

Stori za kutekwa watoto bado zinaendelea kukamata headlines hasa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Arusha ambako kumeripotiwa matukio ya kutekwa watoto kisha watekaji kudai walipwe fedha ili iweze kuwaachia watoto hao.

Mmoja wa wazazi ambao wamekutwa na jambo hilo ni pamoja na David Njau ambaye ni mzazi wa mtoto Maurine ambaye anadaiwa kutekwa August 21 akisema kuwa watekaji wametaka awatumie Tsh. Milioni 4.5 ili wamrejesha mtoto wake huku tayari akituma Tsh. 300,000 bila mafanikio.

UTEKAJI MWANZA: Mama asimulia kila kitu Mtoto kutekwa, Mtekaji ataka Mil 3 M-Pesa

HUZUNI HARUSINI!!! Mabwana harusi waugua baada ya kula chakula chenye sumu

Soma na hizi

Tupia Comments