Baada ya bondia Hassan Mwakinyo wiki iliyopita kumpiga bondia Said Azidu round ya kwanza sekunde ya 10 kwa TKO, usiku wa October 28 2018 Mwakinyo alirudi tena ulingoni kupigana dhidi ya bondia Joseph Sinkala katika pambano la round 10 la kuwania Ubingwa wa WBL na UBO, Mwakinyo alimpiga tena Sinkala round ya pili kwa TKO.
Mazoezi ya mwisho ya Hassan Mwakinyo kabla ya kupanda ulingoni leo