Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Wadau wa Boxing walioahidi kujenga ulingo wa kisasa ndani ya mwezi mmoja Tanga

on

Bondia Hassan Mwakinyo amekuwa na mafanikio kwa haraka na kukubalika zaidi, kufuatia ushindi wa mapambano yake mbalimbali anayoendelea kucheza, mafanikio hayo mashabiki wake Hussein Zavel na Yussuph Zavel wametangaza kutengeneza ulingo wa ngumi wa kisasa ndani ya mwezi mmoja.

Hussein na Yussuph ambao ni wadau wa mchezo wa Boxing waliojitambulisha kama team Mwakinyo, wameamua kufanya maamuzi hayo ili kujenga ulingo wa kisasa utakaosaidia maendeleo ya mchezo wa ngumi mkonai Tanga ikiwemo kumsapoti Hassan Mwakinyo.

Angalia Mwakinyo alivyoendeleza ubabe, kampiga Sinkala TKO round ya pili

Soma na hizi

Tupia Comments