Usiku wa June 16 2016 kuamkia June 17 kuna video ya mwimbaji wa longtime Bongoflevani Rehema Chalamila au Ray C ilisambaa mitandaoni akiwa anachukuliwa na gari la Polisi Kinondoni Dar es salaam ambapo baadae ilikuja kugundulika alipelekwa Hospitali.
Kesho yake mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba aliongea na Amplifaya ya CloudsFM pamoja na millardayo.com na kuthibitisha kwamba mwimbaji huyu amekubali mwenyewe kwa hiari yake na kupelekwa kwenye nyumba ya matibabu ya kuachana na dawa za kulevya huko Bagamoyo Pwani.
Sasa leo Agosti 23, 2016 mmiliki wa kituo hicho Nuru kayaongea haya kuhusiana na post mpya za msanii huyo kwenye mtandao wa instagram na mengineyo>>>Ray C mpaka sasa hivi anaendelea vizuri na kuhusiana na zile post zake kwenye instagram yeye ndio anahusika kuzipost kwani amerudi katika hali yake ya kawaida na vitu anavyopost ni kuhusiana na hali yake kwahiyo maendeleo yake sio mabaya’
Unaweza ukabonyeza Play kumsikiliza Mmiliki wa Kituo hich
ULIMISS HAYA MAJIBU YA BARAKA DA PRINCE KWA WALIOSEMA AMESHINDWA KUONGEA KIINGEREZA BASI MSIKILIZE ALICHOKIZUNGUMZA