AyoTV

Video ya goli la Simba vs URA na kosakosa za mechi yenyewe Mapinduzi Cup 2016

on

Kutoka kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi mwaka 2016 naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda, ni goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37 baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto, tazama hii video hapa chini ujionee

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments