Mbunge wa Mlalo Rashid Shangazi ni Miongoni mwa Wabunge waliosimama kuchangia mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo ameishauri Serikali kuboresha sekta za barabara ili kuweza kuwasaidia wananchi wakiwemo wakulima na wasafirishaji.
Kuanzia July, hakutakua na Parking za watu binafsi Mwanza.