Mix

PICHA 9: Rais Magufuli alivyompokea Rais Nkurunzinza wa Burundi leo

on

Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza leo July 20, 2017 amewasili Tanzania katika Wilaya ya Ngara, Kagera na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Magufuli na kupigiwa mizinga 21 pamoja na kukagua gwaride lililoandaliwa na JWTZ.

Baada ya mapokezi hayo msafara wa viongozi hao ulielekea Ngara Mjini ambako watafanya mazungumzo mafupi kabla ya Rais Magufuli kuwahutubia wakazi wa Ngara katika Mkutano wa hadhara utakaofanyika viwanja vya Posta.

FULL VIDEO: Mapokezi ya Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aliyewasili Tanzania na kupokelewa na Rais Magufuli leo…PLAY kwenye hii VIDEO kutazama kila kitu!!!!

Soma na hizi

Tupia Comments