Mei 16, 2019 Spika wa Bunge Job Ndugai ametangaza kusitisha uwakilishi wa Mbunge Stephen Masele katika Bunge la Afrika hadi Kamati ya Maadili itakapokamilisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Spika Ndugai amesema Masele ana matatizo ya kinidhamu na amekuwa akifanya mambo ya hovyo hovyo ikiwemo kugonganisha mihimili.
RAIS MAGUFULI ALIVYOKUBALI OMBI LA SHEIKH KISHKI “ATAKUWEPO TAIFA”