Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Uongozi wa Simba SC baada ya kukutana na shabiki wao aliyetoka Mbeya kwa miguu

on

Moja kati ya habari inayosambaa katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu ni habari ya Shabiki wa Simba SC wa jijini Mbeya Shaban Ramadhani aliyeamua kuja jijini Dar es Salaam kwa miguu, kwa ajili ya kuja kuisapoti timu yake ya Simba SC katika mchezo wa robo fainali ya CAF Champions League dhidi ya TP Mazembe siku ya Jumamosi ya April 6 2019.

Sasa leo Shabani amekutana na uongozi wa Simba SC na wameamuahidi kumfanyia utaratibu wa kupata kadi rasmi ya uanachama wa Simba SC, sambamba na kumgharamia gharama zote za kuungana na mashabiki wa Simba watakaosafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Lubumbashi Congo kuangalia mchezo wa marudiano wa Simba SC dhidi ya TP Mazembe.

“Nina uhakika tunaweza kushinda Lubumbashi na kufuzu”- Kocha Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments