Baada ya kusambaa kwa taarifa za kukamatwa kwa mwanasheria ambae ni mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu akiwa kwenye mkutano wake katika kijijini Ikungi Singida.
Sasa millardayo.com & AyoTV imempata kamanda wa polisi wa Singida Thobias Sedoyeka kayangea haya>>>‘Lissu alikuwa akihutubia hapa kijijini kwake Ikungi na alikua anatafutwa pia Dar es salaam na anayo RB, tumemkamata na atasafirishwa kwenda Dar’
ULIIKOSA HII KAULI YA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOKA MAHAKAMANI AGOSTI 2, 2016 BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA