Ni wiki mbili sasa tangu zoezi la bomoabomoa kupisha upanuzi wa Barabara ya Morogoro ambapo baadhi ya wakazi wa Kimara, Dar es Salaam waliokutwa na bomoabomoa hiyo wamelazimika kulala nje.
Ayo TV na millardayo.com zimefika Kimara ambako zaidi ya nyumba 200 ambazo zinadaiwa kuwa ndani ya hifadhi ya barabara zimevunjwa ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo ambapo licha ya Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi kuweka zuio lakini Wakala wa barabara TANROADS wameendelea na zoezi hilo.
Jionee kwenye video hii kila kitu na walichofunguka wakazi hao..
ULIPITWA? BOMOA BOMOA DAR: Wakazi Kimara waeleza wanavyoishi kwa shida…tazama kwenye hii video hapa chini!!