Habari za Mastaa

Wolper aongelea ya Mpenzi mpya, kinachomuogopesha, umri wake, mtoto na kumbemenda (+video)

on

Huu ni muendelezo wa EXCLUSIVE INTERVIEW na Mwigizaji Jackline Wolper ambae amekaa kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO na kuongea ishu mbalimbali.

Kwenye hii video, Wolper ameongea kuhusu Mpenzi wake mpya ambae inaonekana ana umri mdogo kuliko yeye, kinachomuogopesha yeye kama Wolper, kumbemenda, kumkatalia Harmonize mtoto na mengine…. bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

ULIPITWA?!! Hatimae Jackline Wolper afunguka kuhusu kuachana na Harmonize, Sarah ametajwa humo ndani mwanzo mwisho…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA MWANZO MWISHO

ULIPITWA? Haya hapa chini ni maneno ya Harmonize baada ya Wolper kuongea yote kuhusu chanzo cha kuachana kwao, bonyeza play hapa chini

HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO: ni njia rahisi kabisa ya kuzipata habari zote kiganjani kwako kutoka kwa MILLARD AYO, kwa sasa APP ipo tayari kwa wenye simu za ANDROID na nimekurahisishia kabisa UKIBONYEZA HAPA UNAI-INSTALL MOJA KWA MOJA >>> APP MPYA BONYEZA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments