Michezo

Walipo Simba SC sasa ni ndoto ya Dr. Mengi miaka 25 iliyopita kuhusu Yanga

on

Mkuregenzi Mtendaji wa Makampuni ya IPP marehemu Dr. Reginald Mengi ni miongoni mwa watu ambao walikuwa na mapenzi mema na club ya Yanga toka zamani, baada ya kuona Yanga inasuasua kiuchumi toka miaka hiyo Dr Mengi aliwahi kuishauri club hiyo 1994 kuingia katika mfumo wa hisa na kuiendesha club hiyo kama kampuni kitu ambacho ndio wanafanya Simba SC.

BONYEZA Play Kusikiliza kilichosababisha DR. Mengi awashauri hivyo viongozi wa Yanga

Kigezo kilichoichuja Yanga na kuipa Simba SC nafasi ya kucheza na Sevilla ya Hispania

Soma na hizi

Tupia Comments