Mshindi wa Big Brother 2015 Idris Sultan nyota yake inazidi kung’aa baada ya kuonyesha mafanikio yake makubwa ambayo anatarajia, leo Idris kapost baadhi ya waigizaji kutokea Marekani ambao atafanya nao Kazi kwenye movie mpya inayoitwa The Blue Mauritius.
Video: Party ya Diamond iliyofanyika kwenye boti (Yatch) DSM