fB insta twitter

Msg ya Whatsapp Dr. Slaa aliyomtumia Askofu Gwajima

on

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima  ambaye alikua Polisi kwa mahojiano kuanzia Alhamisi February 9 2017 kutokana na kutajwa kwenye sakata la dawa za kulevya,  amerudi uraiani February 11 na kusema ilivyokua.

Pamoja na kusema kuhusu alichokutana nacho Polisi, Askofu Gwajima ameonyesha msg aliyoandikiwa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa ambaye inaaminika yuko nje ya nchi kwa sasa.

Msg yenyewe imewekwa kwenye ukurasa wa Facebook wa Askofu Gwajima na inasomeka hivi hapa chini

VIDEO: Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID NA IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments