Sister Fay amezungumza baadhi ya mambo ambayo hakuwahi kuyaweka wazi kuhusu yeye na mwanaume ambaye ni mpenzi wake na sehemu ya mambo hayo Sister Fay ametaja kazi ya mpenzi wake ya kufunga madishi na adhabu aliyopewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama interview ya Sister Fay na mpenzi wake wakizungumza.
VIDEO: KUTANA NA MSANII ATAKAYETESA KWENYE BONGOFLEVA, ANATENGENEZA HADI ROBOT