Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 25, 2020,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
\
“KASSIM MAJALIWA AMUITA MWANANCHI KUSOMA ILANI, WAKIJA KWENU WAULIZENI”