Vichwa vitano vya Habari kwenye TV za Tanzania April 19, 2016…
Share
2 Min Read
.
SHARE
Kama ukupata time ya kutazama Taarifa ya Habari April 19, 2016 millardayo.cominakupatia fursa ya kuvitazama vichwa vya habari vilivyosomwa kwenye TV za Tanzania.
.Hii ni kutoka ITV kuhusu Mwenyekiti wa tume akerwa na ripoti za waangalizi kufurahisha wafadhili
.AZAM TV wameripoti April 19, 2016 kuwa Ombaomba wametoweka Dar baada ya agiza la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
.Start TV wameripoti kuwa Rais wa Zanzibar Dkt Shein awaapisha makatibu wakuu na Manaibu.AZAM TV wameripoti habari ya Rais John Pombe Magufuli kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Wilson Kabwe wakati wa uzinduzi wa daraja la kigamboni Dar es Salaam
.Hii pia ni kutoka ITV kuhusu Madereva kulalamikia ubaguzi katika vyombo vya usafiri visiwani Pemba
Kama ulimiss Rais Magufuli alivyotangaza kutengua ukuu wa mkoa Anna Kilango itazame hapa
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBEwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTER FBYOUTUBE