Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
Wagonjwa walazwa na maiti kutokana na Kukosekana kwa chumba cha kuhifadhi ktk kituo cha afya cha Bulungwa Shinyanga pic.twitter.com/UNoCkSlleq
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
#HabariLEO Waziri Kitwanga amesema Serikali haifichi mkataba wa Lugumi asisitiza wabunge kufuata taratibu ili kuona pic.twitter.com/jYLhujEAfA
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
#NIPASHE Mradi wa mabasi yaendayo haraka bado mateso baada ya wananchi kushindwa kupata huduma hiyo juzi usiku pic.twitter.com/85bl4QIlsy
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
#MWANANCHI Mbunge wa CCM Agness Marwa asema waliosambaza habari kuhusu elimu yake wamemsaidia kupata umaarufu pic.twitter.com/OqKsswdTas
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
#MWANANCHI Serikali mbioni kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii ktk ofisi za umma ili kuongeza ufanisi pic.twitter.com/pbouWZDPkO
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
#MWANANCHI Ukawa walizunguka Bunge, yarejesha sakata la kuuzwa nyumba za Serikali pic.twitter.com/x0fE2mEkDq
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
#MWANANCHI Waziri Mbarawa amesema ATCL imetengewa bil 500 kwa ajili ya kununua ndege tatu pic.twitter.com/E3vkphgyTe
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
Watu wa kada mbalimbali wapinga bunge kuhariri hotuba ya upinzani wasema ni kinyume na misingi ya demokrasia pic.twitter.com/PoaXNAy5zl
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
#MWANANCHI Dart imewaita kwenye usaili waombaji zaidi ya 800 kwa nafasi za watakaopokea malalamiko na wakata tiketi pic.twitter.com/7iRth2Wy6q
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
#HabariLEO Tiketi za kawaida zitatumika DART mpaka hapo wataalamu wa fedha watakaporidhishwa na mfumo wa kadi pic.twitter.com/CrVBS13fuh
— millardayo (@millardayo) May 18, 2016
ULIKOSA MPANGO HUU WA RC MAKONDA KWENYE MAGARI MABOVU ALIYOYAKUTA IFISINI KWAKE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE