Leo September 23, 2017 msanii Alikiba alikuwa ni miongoni mwa wasanii waliozungumza na wanafunzi wa Shule ya Nganza Girls High School wakati walipo tembelea shuleni hapo ambapo lilipo tajwa jina la Alikiba wanafunzi walipiga shangwe na kuimba naye wimbo wa Seduce Me.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama kila kitu…
VIDEO: Super Nyota Mwanza imekamilika na mshindi ni huyu