HekaHeka

Hekaheka ya leo Feb18 inatokea Shinyanga, inahusu mwanaume aliyevunja ndoa ya watu

on

lashontaeinstagramHekaheka ya leo February 18, inatokea Shinyanga inahusu mwanaume ambaye amemuacha mwanamke aliyekuwa mpenzi wake na kuanza uhusiano na mwanaume mwingine.

Mwanamke huyo na mwanaume aliyemchukulia mume wake waliwahi kukutana kwenye show kila mtu akiwa na kundi lake, wakarushiana maneno ambapo mwanamke huyo alimtuhumu mwanaume huyo kumchukua mume wake ambaye walikuwa kwenye hatua za kufunga ndoa.

Mwanamke huyo amelalamika kuvuliwa pete ya uchumba aliyokuwa amevalishwa na mpenzi wake huyo.

Mwanaume huyo amesema kuwa ni kweli yuko na mwanaume huyo na amefunga nae ndoa kwa siri na kwa sasa anammiliki na tayari ameshamjengea nyumba.

Sikiliza story yote hapa kwa kubonyeza play.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram,  na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments