HekaHeka

Kuhusu Dada aliyesababisha foleni jijini Dar.

By

on

dar_trafficHii ni imetokea hapa 88.5 jijini Dar na kusababisha foleni kubwa baada ya dada mmoja kuamua kuleta foleni na kuleta mzozo mkubwa kati yake na traffic aliyekuwa barabarani muda huo,ingawa kulitokea ubishi mkubwa na maswali ya watu yakiwa ni kwanini dada huyo anajiamini kiasi hiko.

Sikiliza kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments