Wanawake wamekutana.. wote wanamlalamika msichana mmoja kwamba ana tabia ya umbea na kuchonganisha wenzake kusambaza maneno ya uongo ikiwemo kuwasingizia watu kuwa wameathirika na VVU.. wengine wamefikia ugomvi wa kupigana kabisa.
Msichana aliyempiga mwenzake kutokana na maneno ya uchonganishi, amesema msichana huyo amekuwa akimsababishia matatizo kwa kumchonganisha na watu, pamoja na mume wake.
Siku ya tukio akatokea msichana mwingine ambaye alikuwa anajua kwamba wanawake hao wamepanga kumsuta, akamwambia akimbie.. wanawake hao walikasirika kumkosa mwanamke huyo, wakaamua kumgeuzia kibao kumsuta msichana huyo aliyemfanya akimbie.
Sikiliza Hekaheka yote kwa kubonyeza play hapa chini…
millardayo.com ni sehemu yako utakapozipata zote unazozitaka, vichekesho, stori za siasa, muziki, michezo, movies, magazeti, video mpya na nyingine kubwa…. unaweza kujiunga na mimi Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook