Mwanaume mmoja alioa na wakapata mtoto mmoja na mkewe, akapata safari kwenda Rwanda ambako ikapita kama miaka mitatu hivi hakuna mawasiliano kati yao.
Mwanaume ni dereva wa magari makubwa ya mizigo, na mara nyingi alikuwa mtu wa kusafiri lakini haikuwahi kutokea safari ambayo amekaa muda mrefu kama hii.. mke akaona aanze uhusiano na mwanaume mwingine.
Maisha yakaendelea, baadae wakaamua wafunge ndoa.. kabla hata ya ndoa yenyewe, mwanaume wa kwanza akarudi, eti hapo nani ana makosa kati yao?
Imesikika kwenye meza ya Hekaheka @CloudsFM, na unaweza kuisikiliza tena hapa mtu wangu.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.