Timu ya Hekaheka imepokea stori kutoka Mwanza kuhusu ishu ya waumini wa Kanisa moja ambao wanaondolewa kwa amri ya Mahakama baada ya kugoma kuondoka kwa hiari yao.
Waumuni hao walipewa eneo hilo miaka mingi iliyopita kwa ajili ya kusali wakati wakitafuta eneo lao, lakini sasa wamegoma kuondoka wakidai watakaa hapo mpaka Mungu wao awaambie.
Mwenye eneo hilo akaamua kwenda kufungua kesi Mahakaman, baadae wakaagizwa Polisi kuja kuwaondoa lakini waliwagomea huku wakiwazuia Polisi kutogusa kitu chochote ikiwemo Madhabahu ya Kanisa lao.
Hekaheka hiyo iko kwenye hii sauti hapa mtu wangu.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos