Mtanzania Injinia Abdi Mjema ndiye anayeitengeneza helicopter hiyo katika chuo cha ufundi Arusha na hadi kufikia mwezi wa saba mwanzoni itaanza majaribio ya awali, helicopter itakuwa na uwezo wa kuchukua abiria wawili na mpaka sasa shilingi million 3 zimeshatumika.
ULIIKOSA HII YA YOUNG DEE KWENYE STUDIO YA MILLARD AYO! ISHU YA DAWA ZA KULEVYA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE