Kwenye wakali wa muziki ambao waliweza kubeba mataji ya kukubalika kwenye kona mbili tofauti za entertainment Tanzania, najua huwezi kuliacha jina la Hemedy PHD.
Unajua sio kitu rahisi mtu akafanya Bongo Fleva na kufanya Bongo Movie na kote akafanya poa, huo mzigo Hemedy kaweza kuupiga vizuri tu !!
Ninacho kitu chake kipyakipya mtu wangu… hapa ni wakali wawili kwa pamoja, mzigo unaupata toka Mkito kwa kubonyeza hapa >>>Hemedy PHD Feat. Mr. Blue- ‘Someday‘
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE