Polisi wameanza kufanya mchakato wa kuchukua nyumba ya kifahari ya thamani ya Dola za Marekani 1.5 sawa na Tshs Bilion 3.6 inayomilikiwa na familia ya aliyekuwa Jenerali wa Jeshi wa Sudan Kusini.
Jenerali huyo wa Jeshi James Hoth Mai Nguoth aliwahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Watu wa Serikali ya Uhuru wa Sudan tangu May 2009 mpaka April 2014. Mwaka 2016 Nguoth alikutwa na kashfa ya kula pesa za nchi yake hiyo ambayo ilikuwa imepigwa wakati wa vita.
Kutokana na kashfa hiyo polisi wanataka kunyang’anya jumba hilo la kifahari lililopo Narre Warren, Melborne nchini Australia na wamefungua mashtaka juu ya kosa hilo kwa hati ya kosa la jinai.
Alichozungumza Kibatala baada ya Sugu kuachiwa, ametaja kilichokuwa kinakwamisha dhamana
Good News kwa watumishi wote wanaoidai Serikali