Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla ameendelea na ziara yake ya kikazi katika mikoa mbalimbali ambapo time hii alikuwa Manyara ambapo ametoa miezi tisa kwa Wananchi waliojenga maeneo ya hifadhi ya Tarangire na Mkungunero kuhama baada tu ya kulipwa fidia zao.
Dr Kigwangalla amesema fidia hiyo italipwa kwa vitongoji viwili vya kijiji cha Irkishbo vya Maasasi na Lumbenek vilivyopo katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara ambavyo vilikutwa ndani ya Pori la Akiba Mkungunero wakati pori hilo linaanzishwa mwaka 1996 kwa Tangazo la Serikali Na. 307.
Full video nimekuwekea hapa chini tayari…
FULL VIDEO: Sugu na Masonga wakipelekwa Gerezani