Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Idara ya Uhamiaji, imemwandikia barua Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe kumtaka afike katika ofisi za Idara hiyo kwa ajili ya mahojiano
AyoTV imezungumza na Askofu Kakobe na amethibitisha kupokea wito huo na amesema yupo tayari kwenda kwenye mahojiano hayo. Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Askofu Kakobe na Kamishina wa Uhamiaji Ngonyani.
“Ni MARUFUKU Polisi kufyeka bangi ” -President JPM